STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 23 Julai 2015

TWEET YA KWANZA YA RADAMEL FALCAO BAADA YA KUANZA MAZOEZI CHELSEA


Straika wa Colombia,  Radamel Falcao leo ameanza mazoezi  katika kikosi cha Chelsea  ambacho kinajiandaa na msimu mpya nchini Marekani.
Baada ya mazoezi hayo chini ya Jose Mourinho, Falcao ame-tweet mchana huu akisema: 

"Ni furaha kujiunga na timu na kuanza kazi na wachezaji wenzangu Chelsea".


MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger amesema mawazo ya kustaafu humfanya kuingiwa na hofu. Meneja huyo raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 65, anatarajiwa kutimiza miaka 20 akiwa na Arsenal lakini amesema hana mpango wowote wa kufuata nyayo za meneja wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson aliyestaafu. Akihojiwa kuhusiana na hilo, Wenger amesema huwa analiwaza kwa muda usiozidi sekunde tano kwasababu humfanya apate hofu kidogo. Wenger aliendelea kudai kuwa wakati walipocheza na United alikutana na Ferguson na kumuuliza kama haoni kama kuna kitu anakikosa lakini alimjibu kuwa alishafanya ikamtosha kabisa. Wenger ambaye ameiongoza Arsenal kutetea taji lake la FA msimu uliopita, aliongeza kuwa pamoja na hayo lakini ni mara chache sana kumkosa Ferguson uwanjani. Wenger alijiunga na Arsenal akitokea Monaco mwaka 1996.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZMENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger amesema mawazo ya kustaafu humfanya kuingiwa na hofu. Meneja huyo raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 65, anatarajiwa kutimiza miaka 20 akiwa na Arsenal lakini amesema hana mpango wowote wa kufuata nyayo za meneja wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson aliyestaafu. Akihojiwa kuhusiana na hilo, Wenger amesema huwa analiwaza kwa muda usiozidi sekunde tano kwasababu humfanya apate hofu kidogo. Wenger aliendelea kudai kuwa wakati walipocheza na United alikutana na Ferguson na kumuuliza kama haoni kama kuna kitu anakikosa lakini alimjibu kuwa alishafanya ikamtosha kabisa. Wenger ambaye ameiongoza Arsenal kutetea taji lake la FA msimu uliopita, aliongeza kuwa pamoja na hayo lakini ni mara chache sana kumkosa Ferguson uwanjani. Wenger alijiunga na Arsenal akitokea Monaco mwaka 1996.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZHOFU YAMUINGIA WENGER AKIWAZA KUSTAAFU. MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger amesema mawazo ya kustaafu humfanya kuingiwa na hofu. Meneja huyo raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 65, anatarajiwa kutimiza miaka 20 akiwa na Arsenal lakini amesema hana mpango wowote wa kufuata nyayo za meneja wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson aliyestaafu. Akihojiwa kuhusiana na hilo, Wenger amesema huwa analiwaza kwa muda usiozidi sekunde tano kwasababu humfanya apate hofu kidogo. Wenger aliendelea kudai kuwa wakati walipocheza na United alikutana na Ferguson na kumuuliza kama haoni kama kuna kitu anakikosa lakini alimjibu kuwa alishafanya ikamtosha kabisa. Wenger ambaye ameiongoza Arsenal kutetea taji lake la FA msimu uliopita, aliongeza kuwa pamoja na hayo lakini ni mara chache sana kumkosa Ferguson uwanjani. Wenger alijiunga na Arsenal akitokea Monaco mwaka 1996.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZATLETICO YANASA SAINI YA NYOTA WA GHANA. KLABU ya Atletico Madrid imekubali kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ghana Bernard Mensah kutoka klabu ya Vitoria Guimaraes ya Ureno. Hata hivyo, Atletico watampeleka kiungo huyo kwa mahasimu wao wa La Liga na majirani zao Getafe. Klabu hiyo ilithibitisha tarifa hizo kupitia mtandao wake jana huku wakidai kumpeleka kwa mkopo wa msimu mmoja Getafe. Vitoria na Getafe pia zilithibitisha dili hilo la nyota huyo mwenye umri wa miaka 20 ambaye ambali na kucheza kama kiungo wa kushambulia lakini pia anaweza kucheza kama winga.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZATLETICO YANASA SAINI YA NYOTA WA GHANA. KLABU ya Atletico Madrid imekubali kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ghana Bernard Mensah kutoka klabu ya Vitoria Guimaraes ya Ureno. Hata hivyo, Atletico watampeleka kiungo huyo kwa mahasimu wao wa La Liga na majirani zao Getafe. Klabu hiyo ilithibitisha tarifa hizo kupitia mtandao wake jana huku wakidai kumpeleka kwa mkopo wa msimu mmoja Getafe. Vitoria na Getafe pia zilithibitisha dili hilo la nyota huyo mwenye umri wa miaka 20 ambaye ambali na kucheza kama kiungo wa kushambulia lakini pia anaweza kucheza kama winga.

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox