STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 2 Oktoba 2014

PODOLSKI ACHOSHWA NA BENCHI ARSENAL.

WINGA wa klabu ya Arsenal, Lukas Podolski amedokeza kuwa anaweka kuikacha timu hiyo kabla ya mkataba wake kumalizika mwaka 2016 kwasababu ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara. Akihojiwa Podolski amesema ni mchezaji wa mtaani ambaye damu inachemka hivyo anapenda kushindana na anakosa nafasi hiyo kila mwishoni mwa wiki anapaswa kufanya mabadiliko. Podolski ambaye ameifungiwa timu yake ya taifa ya Ujerumani mabao 47 katika mechi 118 alizocheza alijiunga na Arsenal mwaka 2012. Hakuhusishwa katika mechi nne za ufunguzi wa msimu kufuatia mafanikio waliyopata Ujerumani katika Kombe la Dunia nchini Brazil na amekuwa akisugua benchi katika nane zilizopita za Arsenal. Nyota huyo amesema kwasasa anaangalia hali inavyokwenda na kama mambo yakiendelea kuwa hivyo ataona kama kuna uwezekano wa kutafuta timu atakayopata nafasi ya kucheza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox