STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 7 Oktoba 2014

RONALDO AMPIKU MESSI KWA WALIOTAJWA ZAIDI MTANDAONI


Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo au CR7 ameshika nafasi ya kwanza kuwa mwanamichezo anayetajwa zaidi mitandaoni.
Ronaldo ameshika nafasi hiyo ya juu kwa kutajwa zaidi kwa mara 741,969.

Ronaldo amechukua nafasi hiyo baada ya kutajwa sana tokea Januari mwaka huu.

Nafasi ya pili imekwenda kwa mwanasoka mwingine, Lionel Messi ambaye ametajwa mara 599,115 na nafasi ya tatu ni mchezaji kikapu wa kikosi cha Miami Heat, LeBron James aliyetajwa mara  462,825.

Mchezaji tenisi Roger Federer ameshika nafasi ya nne akifuatiwa na mpinzani wake mkubwa Rafael Nadal.
Nafasi ya sita na saba imekwenda kwa wacheza gpfu maarufu duniani Tiger Woods na Phil Mickelson.
Kwa makocha, aliyetajwa zaidi kwa kipindi hicho anaonekana ni Kocha wa Chelsea Jose Mourinho aliyetajwa mara 423,447.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox