STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 3 Desemba 2014

ATLETICO YAWATIMUA WANACHAMA WAKE WALIOFANYA VURUGU ZILIZOSABABISHA KIFO.


KLABU ya Atletico Madrid imewatimua wanachama saba wa timu hiyo na kikundi cha watu wenye msimamo mkali waliotambuliwa na polisi wa Hispania kushiriki vurugu na mashbiki wa Deportivo La Coruna ambazo zilisababisha mtu mmoja kufariki dunia. Miongoni mwa waliotambuliwa ni watu 15 ambao wamesema ni mashabiki wa Atletico ambao saba kati yao ni wanachama ambao walitimuliwa mara moja kwa mujibu wa taarifa za timu yao. Klabu hiyo pia imesema inawafungia mashabiki wengine wenye msimamo mkali waliotambuliwa na polisi kwa kosa la kushiriki vurugu hizo. Watu 21 waliokamatwa kwa vurugu hizo walifikishwa mbele ya mahakama jana na baadae kuachiwa kwa dhamana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox