STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 3 Desemba 2014

MBIO ZA UBINGWA BADO - WENGER.

MENEJA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza mbio za ubingwa wa Ligi Kuu bado hazijaisha pamoja na Chelsea kuanza vyema msimu huu. Chelsea iliyoko chini ya Jose Mourinho kwasasa haijafungwa na wadau wamekuwa wakianza kukifananisha na kikosi cha Arsenal ambacho kiliwahi kumaliza msimu bila kufungwa. Klabu ya Manchester City kwasasa wako nyuma ya Chelsea kwa alama sita na Wenger amesema kuna timu kadhaa ambazo bado zitaendelea kuwafukuza vinara hao kwa mechi zilizobaki. Kocha huyo aliendelea kudai kuwa haiwezekani kudai mbio za ubingwa zimekwisha baada ya kuchezwa mechi 13 au 14 hivyo anaamini bado ubingwa uko wazi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox