STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 30 Juni 2015

MAN UNITED YATOA OFA YA PAUNDI MILIONI 28.6 KWA AJILI YA KUMSAJILI RAMOS.

KLABU ya Manchester United imetuma ofa ya paundi milioni 28.6 kwenda Real Madrid kwa ajili ya kumsajili beki wake Sergio Ramos. 

United inaamini nyota huyo mwenye umri wa miaka 29 anataka kuondoka Madrid baada ya kushindwa kupewa ofa ya kuongezwa mkataba wake ambao unamalizika mwaka 2017. 

Nyota huyo wa kimataifa wa Hispania amecheza mechi 445 toka ajiunge na Madrid mwaka 2005 akitokea Sevilla. Meneja wa United Louis van Gaal anataka kuimarisha safu yake ya ulinzi katika kikosi chake tayari kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox