STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 20 Julai 2015

BAADA YA KUONDOKA KWA TORRES NI SUAREZ PEKEE ALIEFANYA VYEMA LIVERPOOL TIZAMA TAKWIMU HIZI


Msimu wa  2013/14 , Luis Suarez na Daniel Sturridge walitikisa ligi kuu England wakikaribia kuchukua ubingwa wa ligi kuu England wakiichezea Liverpool, kabla ya Manchester City kuwapokonya tonge mdomoni.
Stori ni kwamba, tangu mshambuliaji aliyevuma Anfield, Fernando Torres aondoke Liverpool na kujiunga na Chelsea mwaka 2011 kwa paundi milioni 50, Luis Suarez ndiye mchezaji pekee aliyepata mafanikio.
Akaunti ya Twitter ya Tussen de lines ya Uholanzi leo imetengeeza Graphic  ikionesha jinsi washambuliaji wa Liverpool walivyo na kiwango kibovu tangu Torres atimke kwa Majogoo.
Fabio Borini, Mario Balotelli, Andy Carroll, Robbie Keane, Iago Aspas na Rickie Lambert, wote wamekuwa wachovu katika suala la kucheka na nyavu.
Carroll, Borini, Balotelli na Keane wote wameigharimu Liverpool Euro milioni 4.8 kwa goli na takwimu zinaonesha kwamba  David N’Gog angalau amejitahidi.
Graphic hii hapo chini inaonesha kiasi kilichotumika kumnunua kila straika na 
kuuzwa, idadi ya magoli na thamani ya kila goli.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox