STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 1 Julai 2015

MAKUNDI YA KAGAME CUP HAYA HAPA, YANGA NGOMA INOGILE

magola

Makundi ya kombe la klabu bingwa Africa mashariki na kati (Kombe la kagame) yametangazwa leo hii kukiwa na timu mbili kutoka Tanzania bara na moja kutoka Tanzania visiwani (Zanzibar) ambapo Simba SC na Mbeya city hawamo katika makundi hayo matatu.

Taarifa ya mshindano ya Kagame Cup ilipotangazwa kufanyika Dar es salaam, kuna tetesi zilitolewa ya uenda Tanzania bara ikawakilishwa na timu tatu, ambapo nafasi hiyo ya tatu ilikuwa inahusuihwa na Meya city pamoja na Simba SC, ambapo kuota kwa makundi hayo yanakanusha uvumi huo.

Michuano ya Kagame mwaka huu yanatarajia kuanza katikati ya mwezi huu katika uwanja wa Taifa ambapo timu 13 zinatarajiwa kuchuana katika makundi matatu yanayo jumuisha timu 4 kila kundi, isipokuwa kundi A lenye timu 5.


MAKUNDI YENYEWE NI:

KUNDI A
Yanga ( Tanzania)
Gor Mahia ( Kenya)
Khartoum ( Sudan)
Telecom ( Djibout)
KMKM ( Zanzibar )

KUNDI B
APR( Rwanda)
Al Shandy ( Sudan)
LLB ( Burundi)
Elman ( Somalia)

KUNDI C
Azam (Tanzania)
Malakia ( South Sudan)
KCC ( Uganda)
Adama City ( Ethiopia)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox