STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 21 Julai 2015

MESSI AHUSISHWA KUPOKEA MLUNGULA ALIPO TUA GABON


Imeripotiwa kwamba Messi alikua anatimiza ahadi yake ya kutembelea Gabon kwa Rais Ali Bongo ambae anashutuma nyingi za udicteta na kula rushwa.

 Bila kutegemea Messi akiwa na Deco walifika nchini Gabon na Messi kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa uwanja wa Taifa wa Gabon.
2AA7670500000578-3169433-A_report_in_France_Football_claims_Messi_was_paid_2_4million_to_-a-3_1437479465494
Ripoti zilizotoka kwa wana habari wa ufaransa zinasema kwamba Messi alipokea kiasi cha £2.4m ikiwa kama malipo yake ya kutembelea nchi hiyo. Mwanzoni ziara hiyo ilipewa picha kama ni ya kujitolea kwenda kuzindua uwanja wa taifa wa nchi hiyo.
Wachambuzi wa mambo wanasema kwamba kwa status ya Messi hata kama angepewa mualiko na Rais huyo ingekua sio rahisi kwa yeye kukubali kwasababu Rais huyo ana sifa mbaya ya kula rushwa. Pia ana kashfa ya kujilimbikizia mali wakati wananchi wake wana hali mbaya na nchi yake ina watoto wengi wanaoishi kwenye umaskini.
Wapinzani wa kisiasa wa Ali Bongo wanasema kwamba Rais huyo ametumia pesa za walipa kodi kumlipa Messi ambaye anajihusisha sana na mambo ya kujitolea duniani. Pia Ali Bongo inasemekana amemtumia Messi kwa ajili ya kujipatia ushawishi zaidi kwa wananchi wake.
2AA77CAB00000578-0-image-a-26_1437474907948
Pia Messi aliweka mikono yake kwenye cement mbichi ambapo mikono yake itabaki kama kumbukumbu uwanjani hapo.Messi na Baba yake bado wana kesi ya ukwepaji wa kodi nchini Hispania.

2AA77CAF00000578-3169433-Lionel_Messi_helps_lay_a_stone_at_Port_Gentil_stadium_in_Gabon_a-a-2_1437479465493
2AA778BA00000578-3169433-Messi_is_enjoying_an_extended_summer_break_after_helping_Argenti-a-4_1437479465501

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox