STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 4 Agosti 2015

BENITEZ AWAKOMALIA BALE NA BENZEMA.

MENEJA wa Real Madrid, Rafael Benitez hategemei washambuliaji Gareth Bale na Karim Benzema kuondoka katika klabu hiyo. 

Bale mwenye umri wa miaka 26 amekuwa akihusishwa na tetesi za kuhamia Manachester United huku Benzema mwenye umri wa miaka 27 akiwaniwa na Arsenal. 

Akihojiwa Benitez amesema hataki kuzungumzia lolote kuhusu ofa zilizotolewa kwa ajili ya wachezaji wake kwani anachofahamu yeye Bale na Benzema wataendelea kuwepo Santiago Bernabeu. 

Mustakabali wa Bale umeibuka tena kufuatia Angel Di Maria kukaribia kukamilisha uhamisho wake wa paundi milioni 44.5 kutoka United kwenda Paris Saint-Germain. Hata hivyo, Benitez aliongeza kuwa Bale ni mchezaji muhimu kwao na anajua anafurahia kuwepo Madrid

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox