STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 4 Agosti 2015

HATIMAYE RAFAEL AONDOKA MAN UNITED NA KUTUA ZAKE LYON,

 Rafael Da Silva ameondoka Manchester United amejiunga na Lyon ya Ufaransa.

Beki huyo raia wa Brazil amejiunga na Lyon na kutupia picha zake kwenye mtandao.

Lyon imemwaga pauni milioni 2.5 kumpata beki huyo wa kulia wa United mwenye umri wa miaka 25.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox