STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 7 Agosti 2015

GWIJI WA ARSENAL THIERRY HENRY AMSHAURI WENGER KUMNUNUA MSHAMBULIAJI HUYU...


Nguli wa Arsenal Thierry Henry anaamini kwamba Arsenal wanamhitaji Karim Benzema ili waweze kutwaa taji la EPL  na ligi ya mabingwa Ulaya.

Ingawa Henry anahisi kwamba vijana hao wa Wenger hawako mbali na kufanya maajabu, anaamini kwamba bado wanahitaji kuongeza nguvu katika kikosi chao hasa safu ya ushambuliaji ili Giroud apate wa kusaididana naye.

"Mara zote nimekuwa nikisema kwamba huu ni mwaka wa Arsenal lakini kuna kitu cha kuongeza kwa sasa", alikaririrwa na talkSPORT.

"Nadhani kwa mwaka huu watapigania ubingwa endapo hawatokumbwa na majeraha ya hapa na pale.

"Ukiwa na Giroud kama mshambuliaji pekee – huwezi kushinda ligi, unahitaji mshambuliaji mwenye vionjo tofauti na Giroud.

"Nadhani Giroud anafanya vizuri sana - alifunga magoli 14 ndani ya michezo 18, hilo si jambo la mchezo - lakini wakati mwingine unahitaji mshambuliaji mwenye vionjo tofauti na nahisi kama watampata Benzema, ghafla watakuwa na nafasi kubwa ya kutwaa ndoo ya EPL na UCL".

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox