STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 17 Agosti 2015

MAN UNITED LEO USO KWA USO NA WABELGIJI UEFA CHAMPIONS............

Nahodha wa United, Wayne Rooney akiwasili Hotelini
Baada ya kukosa michuano ya Ulaya msimu iliopita, leo usiku Manchester United wanacheza mechi ya kwanza ya raundi ya mwisho ya mtoano dhidi ya Club Brugge ya Ubelgiji.

United manager Louis van Gaal (right) and midfielder Ander Herrera (left) arrive at the Lowry Hotel 

Wachezaji wa Man United jana waliwasili Hoteli ya kifahari ya Lowry tayari kujiandaa na mechi hiyo ya kwanza kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Uefa Champions League ambayo inachezwa Old Trafford kuanzia majira ya saa 3:45 kwa saa za Afrika Mashariki.

United playmaker Juan Mata takes a phone call as he joins the squad in their luxury digs for the night 
RATIBA NZIMA YA MECHI ZA LEO ZA UEFA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox