STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 18 Agosti 2015

BOSI WA MANCHESTER UNITED AWEKA KAMBI CATALUNYA...



Mkurugenzi mkuu wa Manchester United, Ed Woodward yupo mjini Barcelona, Hispania kujaribu kufanya mazungumzo ya kumsajili Pedro kwa paundi milioni 22.
Woodward alikwea pipa jana kwenda  Catalunya kushuhudia mechi ya marudiano ya Spanish Super Cup kati ya Barcelona na Athletic Bilbao iliyopigwa uwanja wa Camp Nou.

Inafahamika kwamba bosi huyo wa Old Trafford anatarajia kufikia hatua nzuri ya kukamilisha dili hilo, huku Chelsea nao wakihusishwa kuvutiwa na nyota huyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox