STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 12 Septemba 2015

MASHABIKI WAMJIA JUU DRAKE KUTOKANA NA SERENA KUSHINDWA KATIKA NUSU FAINAL YA US OPEN....



Staa wa mchezo wa Tennis, Serena Williams na superstaa wa muziki wa Hip hop Drake wamekuwa topic kwenye mitandao mingi baada ya tetesi nyingi kusambaa kuwa wawili hao wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi.

drake

Yote yalianza siku ambayo mapaparazzi walimnasa Drake kwenye picha akiwa kwenye mashindano ya Serena Williams huko Australia… haikuishia hapo, baada ya Serena kushinda Australia Open Championships, Drake alionekana tena kwenye mashidano yake ya French Open (Roland Garros), Wimbledon na haya ya jana U.S Open Championships.

drake2

Sasa jana staa huyo wa tennis alikuwa gumzo baada ya kukosa ushindi kwenye U.S Open dhidi ya Roberta Vinci wa Italy… Cha kushangaza zaidi mashabiki wamemshambulia Drake na kumlaumu sana kwa kitendo cha Serena Williams kukosa ushindi huo!

drake5

Mashabiki wanadai kuwa Drake amekuwa kikwazo kwenye mashindano haya na amemchanganya sana Serena kiasi cha kumfanya ashindwe kuweka akili yake yote kwenye mashindano hayo, mashindano ambayo kama Serena Williams angeshinda basi angeweka historia ya kuwa mwanamke mweusi kushinda mashidano yote hayo kwa mfululizo!

drake4

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox