STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 12 Septemba 2015

VAN GAAL KAMTETEA ANTHONY MARTIAL, TIZAMA NA PICHA ZA MARTIAL KATIKA MAISHA YAKE UINGEREZA....


Kocha wa Manchester United Louis van Gaal amemtetea mapema mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Anthony Martial kuwa itachukua muda kuizoea Ligi Kuu Uingereza, hivyo wasitegemee kuanza kwa kufanya vizuri au kufunga magoli, kauli hii inakuja ikiwa ni saa chache zimesalia kabla ya Man United kucheza mechi dhidi ya Liverpool.

Anthony-Martial-leaving-The-Lowry-Hotel-with-wife-Samantha-and-baby-daughter-after-his-first-days-training-with (1)

Mshambuliaji huyo wa kifaransa alisajiliwa na Man United wakati wa mapumziko ya kupisha mechi za kimataifa, hivyo Van Gaal anajaribu kuwashauri mashabiki wampe muda wa kutosha kwanza wa kuizoea Ligi kabla ya kuanza kufanya vizuri, kwani ada ya pound milioni 36 aliyosajiliwa kutokea Monaco ni kiasi kikubwa ukilinganisha na umri wake hivyo mashabiki wengi huenda wakawa na matarajio makubwa.

Anthony-Martial-leaving-The-Lowry-Hotel-with-wife-Samantha-and-baby-daughter-after-his-first-days-training-with (2)

Kwa upande wa Anthony Martial ameonekana akifanya matembezi na mkewe Samantha na mtoto wao katika jiji la Manchester, huku akionekana kufurahia maisha mapya katika jiji la Manchester. Martial anapewa nafasi kubwa ya kucheza katika mechi dhidi ya Liverpool, hivyo kutokana na usajili wake kugharimu fedha nyingi, huenda mashabiki wakatarajia makubwa kutoka kwake.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox