STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 11 Septemba 2015

RATIBA YA MICHEZO YA SIKU YA LEO JUMAMOSI EPL....


Leo ligi kuu ya soka nchini England (EPL) itaendelea kwa jumla ya michezo saba kupigwa.

Mchezo kati ya Manchester United dhidi ya Liverpool utakao chezwa majira ya saa moja na nusu usiku ndio umeangazwa na vyombo vingi vya habari duniani kote kutokana na ukweli kwamba mhezo huo ndio mkubwa kulingana na upinza wa timu hizo mbili zenye mafanikio makubwa kwenye ligi hiyo.

Ukiachana na mchezo huo, kunamichezo mingine sita itakayochezwa kwenye ligi hiyo ambayo ratiba yake kamili ipo hapo chini mchezo wa mapema zaidi majira ya sa nane na dakika arubaini na tano ni wa Chelsea na michezo mingine sa kumi na moja kwa saa za Afrika mashariki.

Ratiba EPL Sept 12




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox