STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 18 Agosti 2015

MAN UNITED, ARSENAL MPANGO MZIMA UMEKUWA HIVI HUKO UFARANSA KUHUSU......


Timu za ligi kuu England zimepata taarifa kutoka Ufaransa zikieleza kwamba Zlatan Ibrahimovic amesema anaweza kuondoka PSG majira haya ya kiangazi.

Ibrahimovic ambaye atafikisha miaka 34 mwezi Oktoba mwaka huu atapatikani sokoni akiwa mchezaji huru na hii itazifanya klabu kubwa zimuwanie.
PSG's captain watched the unveiling of new man Angel di Maria this summer, but could still leave

Manchester United na Arsenal zote zinahitaji straika na inawezekana wazee wa Old Trafford wakaamua kumchukua Msweden huyo.

Hata hivyo, timu yake ya zamani, AC Milan nayo inafuatilia dili hilo.

The Swedish international watched from the stands as his side beat Ajaccio in the league last weekend

Ibra aliikosa mechi ya jana ambayo walishinda 2-0 dhidi ya Ajaccio kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya kifundo cha mguu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox