STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 15 Agosti 2015

SAKATA LA DE GEA LAZIDI KUWA MOTO, SASA KIBAO CHAWAGEUKIA VIONGOZI....

De Gea anataka kutimka Man United na kujiunga Real Madrid

Beki wa zamani wa Manchester United, Gary Neville amesema kitendo cha David De Gea kutaka kuondoka Old Trafford ni kwasababu ya utawala mbovu wa klabu hiyo.

Bosi wa Mashetani Wekundu, Louis van Gaal amedai golikipa huyo hataki kukichezea tena kikosi chake, ingawa De Gea ameshitushwa na kitendo cha kutopangwa kwenye timu hiyo ya Mholanzi.

Akizungumza na Sky Sports News, Neville amesisitiza kwamba hali hiyo imetokea kwasababu ya uzembe wa utawala wa Man United wa kuacha mkataba wa kipa huyo wa Hispania kufikia mwaka wa mwisho.

De Gea has said that he would be more than happy to play if he was selected by the management team

"Mwazoni alikuwa na msimu mbaya, hakuwa na uzoefu wowote, akaendelea kuzoea mazingira ya England, chini ya David Moyes alionesa thamani yake".

"Swali la kujiuliza, kwanini mkataba wake haukuongezwa siku za nyuma? kumuacha abakize mwaka mmoja ni utawala mbovu. Sasa United wanalimaliza vipi? " Ameuliza nyota huyo wa zamani mwenye miaka 40 kwasasa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox