STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 14 Agosti 2015

BARCELONA NA MESSI WAO, WAPIGWA 4-0 NA ATHLETICO BILBAO KWENYE SUPER CUP

Mabingwa wa Ulaya, FC Barcelona wamepoteza kwa kipigo kikali mechi ya kwanza ya Spanish Super Cup dhidi ya Athletico Bilbao.
Lionel Messi is the picture of dejection after Athletic Bilbao shocked Barcelona, putting four goals past them in the Spanish Super Cup
Wakiongozwa na mchawi wao, Lionel Messi, Barca wamedundwa 4-0.
Aritz Aduriz ameingia kwenye vitabu vya kumbukumbu vya mashabiki wa Barcelona kufuatia kupiga mabao matatu peke yake 'Hat-trick' katika dakika za 53, 62, 68, huku Mikel San Jose naye akifunga goli moja dakika ya 13 kipindi cha kwanza.
Nyota anayewaniwa na Manchester United, Pedro alianza kikosi cha kwanza, lakini alishindwa kabisa kupenya ngome ya Bilbao.
Aritz Aduriz heads past Marc-Andre ter Stegen as Athletic Bilbao doubled their lead just a short way into the second half
Aduriz akicheka na nyavu

Wakitokea kushinda 5-4 dhidi ya Sevilla katika mechi ya fainali ya Uefa Super Cup iliyochezwa kwa dakika 120, kocha wa Barca, Luis Enrique hakuwaanzisha Gerard Pique, Sergi Busquets, Andres Iniesta na Ivan Rakitic.
Wakati huo tayari alikuwa anawakosa wachezaji wanaosumbuliwa na Majeraha, Jordi Alba na Neymar.
Ili kupindua kichapo hicho, Barcelona wanahitaji kushinda 5-0 nyumbani Camp Nou.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox