Tumezoea kusikia mishahara ya wachezaji soka barani Ulaya kuwa mikubwa ila wengi wamekuwa wakijiuliza kwa nini mastaa kadhaa kutoka Ulaya wamekuwa wakikimbilia Ligi Kuu Marekani (MLS)? wengine wanasema wanafuata mishahara wengine wanasema Ligi Kuu Marekani (MLS) ni Ligi ya wastaafu.
September 23 nakuletea list ya mishahara ya mastaa wa soka waliowahi kucheza soka katika Ligi mbalimbali barani Ulaya alafu wakahamia Marekani… huenda ulitamani kujua mshahara wa mchezaji bora wa Dunia aliyebeba Tuzo ya Ballon d’Or wa mwaka 2007, Ricardo Kaka ambaye amewahi kutamba katika vilabu vya AC Milan na Real Madrid.
List ambayo imeandikwa na mtandao wa metro.co.uk ya wachezaji wanaolipwa fedha nyingi katika Ligi Kuu Marekani.
1- Ricardo Kaka
2- Steven Gerrard 3- Frank Lampard
4- Michael Bradley
5- David Villa
6- Sebastian Giovinco
7- Jozy Altidore
8- Robbie Keane
9- Giovani Dos Santos
10- Clint Dempsey
Hii ni list ya wachezaji wote 18 wanaolipwa fedha nyingi na vilabu vyao katika Ligi Kuu Marekani (MLS)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni