Lionel Messi atakua nje ya uwanja kwa miezi miwili baada ya kuumia goti wakati wa mechi ya La Liga dhidi ya klabu iliyopanda daraja ya Las Palmas alipogongana na beki Pedro Bigas.
Dakika ya 8 tu ya mchezo nyota huyo aliomba kutolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Munir na yeye kupelekwa moja kwa moja katika hospital ya karibu na kugundulika kuwa atakua nje kwa miezi miwili.
Lionel Messi akiugulia maumivu
Kipa wa Las Palmas Javi Varas akimfariji Messi
Barcelona ilishinda kwa bao 2-1 katika mechi hiyo magoli ya Luis Suarez
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni