STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 22 Oktoba 2015

ANGALIA MAYWEATHER ANAVYOTANUA NA MIKANDA YAKE....



Bondia Floyd Mayweather amechukua miaka 19 kufikia mafanikio makubwa aliyokuwa nayo sasa.

Bondia huyo mwenye mbwembwe ameamua kuanika mikanda yake yote 22 aliyoshinda kutoka katika mashirikisho ya WBC, WBA na IBF.

Mkali huyo amepanda ulingoni katika mapambano 49 ya kulipwa bila ya kupoteza hata moja.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox