Kocha Sam Allardyce ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Manchester Airport akiwa tayari kurejea Ligi Kuu england.
Allardyce ,60, maarufu kama Big Sam ametua kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha Sunderland ambacho kilishaanza mazungumzo naye.
Sunderland ilimfungashia virago kocha wake kuonekana hana mwenendo mzuri.
Big Sam alilazimika kuahirisha mapumziko yake nchini Hispania na kurejea nchini England kwa ajili ya kazi hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni