STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 27 Oktoba 2015

FLOYD MAYWEATHER AMETUMIA $3,498,000 MARA MOJA KWA STYLE HII.....

floyd1
Kuna tetesi zimesambaa kwamba Mayweather anaweza kurudi kwenye ulingo na kupiga pambano lake la 50. 

Lakini story hiyo imeisha rasmi baada ya manager wake ku-tweet kwamba Mayweather amesha staff na hatacheza tena kwenye pambano lolote.





2DD296C100000578-3291023-Ellerbe_took_to_Twitter_on_Monday_night_to_confirm_Mayweather_wo-a-5_1445910683984
Wakati huo huo bondio huyu ameendelea kutumia vizuri pesa zake kwenye vitu anavyovipenda ambavyo ni magari. 

Hivi sasa ametumia kiasi $3,498,000 kununua gari jipya aina ya Bugatti Veyron Grand Sport.

Bado Floyd anaendelea kuishi maisha ya hali ya juu kwa kutumia pesa nyingi kwa kiasi kikubwa. 

Moja ya style zake za kutumia pesa ni kusafiri bila mzigo wowote zaidi ya begi la pesa kwenye ndege yake binafsi. Akifika huko anapoenda ndio ananunua mahitaji yake.
 
2DD19CD500000578-0-image-a-2_1445909853414

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox