Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima hatacheza mechi ya Jumamosi dhidi ya Azam FC kwa kuwa amekuwa katika harakati za ufungaji ndoa.
Niyonzima
ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda 'Amavubi' amefunga ndoa ya
serikali mjini Kigali, Rwanda leo. Amefunga ndoa na mpenzi
wake wa muda mrefu ambaye pia ni mzazi mwenzake ambaye sasa wana watoto
watatu.
Katika
hali ya kawaida, Niyonzima kwa kuwa hajafanya mazoezi na wenzake kwa kipindi
sasa, hivyo hatakuwa na nafasi ya kucheza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni