STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 25 Oktoba 2015

TIZAMA VIKOSI VYA MECHI YA TEAM BECKHAM vs TEAM ZIDANE

beck
Mwezi ujao David Beckham ameandaa mechi kwa ajili ya kujitolea ambapo yeye atakua captain wa team yake ambayo itakua chini ya kocha Sir Alex Ferguson na Zidane atakua captain wa timu yake ambayo itakua chini ya kocha Carlo Ancelotti.

Hivi hapa ndio vikosi vya hizo team mbili:

Team Beckham Manager: Sir Alex Ferguson
Players: David Seaman, David James, Sol Campbell, John Terry, Phil Neville, Rio Ferdinand, Jamie Carragher, Ashely Cole, Nicky Butt, David Beckham (captain), Paul Scholes, Ryan Giggs, Andy Cole.


Team Zidane Manager: Carlo Ancelotti Players: Edwin van der Sar, Cafu, Alessandro Nesta, Luis Figo, Ronaldinho, Patrick Vieira, Michael Ballack, Massimo Ambrosini, Robert Pires, Dwight Yorke, Zinedine Zidane (captain), Patrick Kluivert, Ole Gunnar Solskjaer, Landon Donovan.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox