STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 25 Oktoba 2015

MOURINHO SASA HAKUNA UBISHI AMEKALIA KUTI KAVU, HIDDINK, ANCELOTTI WANUKIA CHELSEA...



Kocha Mkuu wa Chelsea, Jose Mourinho sasa si siri tena kwamba amekalia kuti kavu.

Makocha Carol Ancelotti na Guud Hiddink ndiyo wanaopewa nafasi ya kuchukua nafasi yake.
Taarifa za ndani Chelsea zinaeleza kwamba uongozi w aklabu hiyo tayari umewasiliana na makocha hao na kuwaeleza kwamba wakae mkao wa kula.
Hali inaonekana si nzuri kwa Mourinho baada ya kupoteza mchezo dhidi ya West Ham kwa kuchapwa mabao 2-1 huku Mourinho akiondolewa benchi na mwamuzi na kulazimika kumalizia mechi hiyo akiwa jukwaani.

Taarifa nyingine zimeeleza Mourinho amepewa wiki moja tu na anaianza kesho katika mechi ya Capita One Stoke City

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox