STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 16 Desemba 2015

BREAKING NEWS; MSHAMBULIAJI WA TIMU YA TAIFA BRAZIL AKUMBWA NA KASHFA NZITO..........

Wanamichezo kadhaa wamekuwa wakiingia katika shutuma za kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni dawa ambazo zimekatazwa kutumika katika michezo. Miongoni mwa wanamichezo ambao wamekuwa wakituhumiwa kutumia dawa hizo ni wanariadha na mabondia.
233337-fred-sad-740
Fred
Stori zilizopo kwa sasa zinamuhusu staa wa soka wa Brazil anayekipiga katika klabu ya Shaktar Donetsk ya Ukraine Frederico Rodrigues Santos ambaye amezoeleka kama Fred, amefungiwa na shirikisho la soka la America (CONMEBOL) baada ya kugundulika kutumia dawa za kuongeza nguvu ambazo zimekatazwa kutumiwa michezoni.
Kolo-Toure-Will-Join-Liverpool-Once-Transfer-Market-Opens
Toure

Fred anatajwa kugundulika kuwa katumia dawa aina ya Hydrochlorothiazide, hivyo amefungiwa na shirikisho hilo kuichezea timu ya taifa ya Brazil hadi June 27 2016. 

Staa huyo atakosa mechi za kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi. Michezo ya Brazil atatkayoikosa Fred ni mechi kati ya Brazil dhidi ya Paraguay na Uruguay.  

Fred anaingia katika mlolongo wa Kolo Toure ambaye alifungiwa mwaka 2011 kwa tuhuma hizo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox