STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 17 Desemba 2015

JE ! GUARDIOLA KUTUA ARSENAL NA MOURINHO KUTUA MANCHESTER....................

 The two managers greet one another before Arsenal's Champions League clash with Barcelona in 2011
Baada ya Mourinho kutimuliwa na klabu ya Chelsea kumekuwa na tetesi za makocha wengi sana ambao wanatajwa kuchukua nafasi yake na makocha hao ni Diego Simeone wa Athletico Madrid,Guus Hiddink kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uholanzi pamoja na makocha hawa katika orodha hapo chini.


 Kukiwa bado kuna ukosoaji kutokana na maamuzi ya bodi ya Chelsea juu  ya kumfukuza Mourinho tizama takwimu zake dhidi ya baadhi ya makocha wengine Epl.

 
HII HAPA CHINI NI TAKWIMU ZAKE KATIKA MAISHA YAKE NDANI YA CHELSEA AWAMU MBILI;
 


Hata hivyo licha ya kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola kutajwa kujiunga na Manchester City au wapinzani wao Manchester United taarifa  za tetesi zimetoka na kudai kocha huyo anasubiri kuchukua kibarua cha kocha wa Arsenal mzee Wenger na sio vilabu vya jiji la Manchester.

Baada ya taarifa hiyo wengi wanasema huenda Mourinho akatua kuinoa Manchester City au Manchester United na hii ni kutokana na kauli ya Mourinho aliyoitoa pindi akiifundisha Chelsea





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox