STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 17 Desemba 2015

MCHEZAJI WA ZAMANI WA FC BARCELONA AKUMBWA NA KASHFA YA USHOGA DHIDI YA MCHEZAJI MWENZAKE WA VILLA REAL.......

 Tokeo la picha la jonathan dos santos with mateo musacchio
Nyota wa soka Jonathan Dos Santos amepinga taarifa zinazodai kuwa yeye ni shoga baada ya ripoti kutoka vyombo vya habari vya nchini kwao Mexico kudai kuwa nyota huyo ana mahusiano ya kimapenzi na mchezaji mwenzake katika klabu ya Villarreal Matteo Musacchio.
 Tokeo la picha la jonathan dos santos
                                            JONATHAN

Taarifa kutoka  Mexico katika chombo cha habari  cha  TVNotaz zimedai kuwa Jonathan amekuwa na uhusiano huo  na mlinzi wa Kiargentina Musacchio na hata kaka yake Giovan Dos Santos mchezaji wa zamani wa FC Barcelona na Tottenham analijua suala hilo na amekuwa akimuunga mkono.

Tokeo la picha la Mateo Musacchio

                                                           MATTEO MUSACCHIO

Jonathan amejibu tuhuma hizo kupitia ukurasa wake wa twitter kwa kusema "Kama ningekuwa shoga nisingeficha ningesema hadharani ili kila mtu afahamu.Tungeni vitu vingine.Msichochee ubaguzi na unyanyapaa.Alimaliza Jonathan ambaye kabla ya kutua Villarreal alipitia FC Barcelona alipo anzia maisha yake ya soka kwanzia  mwaka 2000 mpaka alipotimkia Villa Real msimu wa 2014. 
 
Tokeo la picha la jonathan dos santos
Taarifa hizo zimeshtusha wadau wengi wa soka ikiwa ni siku kadhaa baada ya baadhi ya mitandao kumzushia mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristian Ronaldo kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na mwanandonga wa Morocco
Badr Hari.
 
 
Maswala ya ushoga yamekuwa yakishika kasi sana na baadhi ya mashirika ambayo yanaunga mkono ushoga yamekuwa yakitumia mbinu mbalimbali kuhakikisha sera ya ushoga inafanikiwa katika kila sekta na jamii nzima kwa jumla.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox