STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 4 Aprili 2016

CHELSEA WATANGAZA KOCHA MPYA.............




Klabu ya Chelsea wametangaza rasmi  Antonio Conte  kocha wa timu ya taifa ya Italia atachukua nafasi  ya Hiddink baada ya kumaliza kuifundisha timu ya Taifa ya Italia katika michuano ya Euro mwezi wa sita mwaka huu  2016.

Conte,amesaini mkataba wa miaka 3 klabuni Chelsea na kupokea kitita cha £4.75million kwa mwaka baada ya makato.

Chelsea have confirmed that Antonio Conte will take over as manager on a three-year contract
The Italy manager is to step down at the end of Euro 2016 from his current role and head to London
As Italy manager, Conte has guided his country to Euro 2016 with an unbeaten campaign in qualifying Conte kocha wa Italia kuelekea Euro 2016

                                ANTONIO CONTE

MAFANIKIO AKIICHEZEA JUVENTUS;
Serie A: 1995, 1997, 1998. 2002, 2003
UEFA Cup: 1993
Champions League: 1996 

MAFANIKIO NGAZI YA UKOCHA;
Juventus: Serie A (2012, 2013, 2014)
Bari: Serie B (2009) 

VILABU ALIVYOFUNDISHA;
Arezzo: 2006 - 2007
Bari: 2007 - 2009
Atalanta: 2009- 2010
Siena: 2010- 2011
Juventus: 2011 - 2014

TIMU YA TAIFA ANAYOFUNDISHA KWA SASA;
Italy: 2014-16

Conte said in his Chelsea statement that he will reserve speaking about his next job until after the Euros
Conte played as a midfielder before being a manager, making over 400 appearances for the club
Conte (right) takes on Juventus team-mate Zinedine Zidane (centre) during a training session in 1998
Conte (kulia) na Zinedine Zidane (katikati) katika mazoezi Juventus 1998

OFFICIAL: Antonio Conte confirmed as new Chelsea manager

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox