STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 11 Aprili 2016

CHINA NA MIPANGO YAKE YA KUJA KUWA SUPER POWER KWENYE SOKA.


TAIFA la China limezindua mikakati yake ya kuja kuwa taifa lenye nguvu kisoka ifikapo mwaka 2050, kwa mipango ya kupata vijana wadogo na wakubwa zaidi ya milioni 50 wachezaji soka ifikapo mwaka 2020. 
 
Malengo mengine yanajumuisha kuwa na walau vituo vya soka 20,000 kwa ajili ya mazoezi na viwanja 70,000 ifikapo mwaka 2020. 
 
Wakati China ikifanya vyema katika michuano ya Olimpiki na Paralimpiki, taifa hilo limefanikiwa kufuzu mara moja pekee katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2002. 
 
Rais wa China Xi Jinping ameonyesha kuwa na shauku kubwa katika soka ambapo mara kadhaa amekuwa akikaririwa akidai kuwa anataka taifa hilo kutwaa Kombe la Dunia katika kipindi cha miaka 15 ijayo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox