STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 11 Aprili 2016

MAJIMAJI WAICHAPA TOTO NA KUJIWEKA NAFAS NZURI YA KUSALIA VPL MSIMU UJAO

 

Baada ya leo kufanikiwa kuwafunga Toto Africans ya Mwanza, Majimaji FC imebakisha pointi 3 kujihakikishia nafasi ya kucheza ligi kuu msimu ujao, ambapo watafikisha pointi ambazo hazitoweza kufikia na timu  tatu za mwisho katika msimamo wa ligi kuu.

Majimaji wakiwa wamebakiza michezo minne kumaliza ligi kuu ya vodacom, hii leo wameifunga Toto Africans ya Mwanza goli 2-1 katika muendelezo wa ligi kuu ya Tanzania bara mchezo uliochezwa katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Matokeo hayo ya leo inaifanya ifikisha pointi 33, ambazo zinaweza kufikia na Mgambo JKT iliyo katika nafasi ya 13, endapo akishinda michezo yote  4 aliyosaliwa, huku Majimaji ikipoteza michezo hiyo minne huenda wakawa katika wakati mgumu


MSIMAMO WA LIGI KUU BAADA YA MCHEZO WA LEO

RnTimuPWDLFAGdPts
1SIMBA SC24183343133057
2YANGA22165154124253
3Azam FC23157140162452
4MTIBWA SUGAR24127529171243
5T. PRISONS26101152321241
6MWADUI FC259792423134
7STAND UNITED25104112222034
8MAJIMAJI FC2696112034-1433
9NDANDA FC2661282427-330
10MBEYA CITY2686122833-530
11TOTO AFRICANS2669112436-1227
12KAGERA SUGAR2667131929-1025
13JKT RUVU2466122433-924
14MGAMBO SHOOTING2658132032-1223
15AFRICAN SPORT2765161130-1923
16Coastal Union2647151537-2219

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox