STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 1 Aprili 2016

FENERBAHCE KUIBOMOA TENA UNITED, WANAMTAKA SCHWEINSTEIGER KIANGAZI.


KLABU ya Fenerbahce inadaiwa kujipanga kumuwani kiungo wa Manchester United Bastian Schweinsteiger majira ya kiangazi. 
 
Nyota huyo wa kimataifa wa Ujerumani ameshindwa kuonyesha makeke yake katika msimu wake wa kwanza Old Trafford suala ambalo limechangiwa na kusumbuliwa na majeruhi ya mara kwa mara. 
 
Kufuatia kuwanasa Nani na Robin van Persie katika kikosi chao msimu uliopita, klabu hiyo ya Uturuki imepania kwa mara nyingine kumwaga fedha katika kipindi cha usajili kwa ajili ya kujiimarisha na msimu ujao. 
 
Kiungo huyo wa zamani wa Bayern Munich anadaiwa kuwa anaweza kununuliwa kwa euro milioni saba kama Fenerbahce wakiamua kumchukua.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox