STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 16 Juni 2016

TIZAMA MKOKO ALIOJIZAWADIA THOMAS ULIMWENGU...........


 MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya DRC na Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Thomas Ulimwengu, amesherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa jijini Lubumbashi. 
 Katika kujipongeza, Ulimwengu amejizawadia gari ya kifahari aina ya Cross Fire (pichani) ambayo imemgharimu kiasi cha Dola 25,000  (zaidi ya Sh 50 Milioni)
Ulimwengu amekosa michezo mitatu ya ligi akiuguza majeraha aliyoyapata akiitumikia Stars katika mchezo dhidi ya Misri. 

Baada ya matibabu amejiunga na wenzake jioni hii kwa ajili ya mchezo dhidi ya SM Sanga Balende hapo kesho kwenye uwanja wa TP Mazembe.

PICHA NA BOIPLUS

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox