STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 9 Julai 2016

EPL YAWAKILISHWA NA WACHEZAJI 12 FAINALI YA EURO 2016

 
Premier Legue iliwakilishwa na wachezaji wengi kwenye michuano ya Euro 2016 huko Ufaransa lakini katika hatua ya fainali wamesalia wachezaji 12 pekee kutoka kwenye ligi hiyo yenye watazamaji lukuki duniani.
 

Yamebaki mataifa mawili hadi sasa ambayo yatacheza fainali ya Euro 2016, wenyeji Ufaransa ambao walifika hatua ya fainali siku ya Alhamisi usiku baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya washindi wa Kombe la Dunia Ujerumani, watakabiliana na Ureno siku ya Jumapili usiku.
Vilabu nane vya Premier League vitawakilishwa na wachezaji wao kwenye hatua hii huku Manchester United na wapinzani wao wa karibu Manchester City wakiwakilishwa na wachezaji wao wawili kama ilivyo kwa Arsenal pia.
France vs Portugal

Kuna utitiri wa wachezaji wa Premier League kwenye kikosi cha Ufaransa wakati huo ukimtoa kiungo wa Newcastle Moussa Sissoko ambaye timu yake imeshuka daraja mwishoni mwa msimu uliopita 2015/16 na itacheza Championship.
Kukiwa na wachezaji 12 wa Premier League, 10 kati yao wanacheza kwenye timu ya taifa ya Ufaransa wakati wawili wanaiwakilisha Southampton watakuwa wakiitetea Ureno.
Hapa kuna list ya wachezaji wa Premier League waliotinga fainali ya Euro 2016:
Ureno:
Jose Fonte-Southampton

Jose Fonte1

Cedric Soares-Southampton
cedric soares

Ufaransa:
Hugo Lloris-Tottenham Hotspur 
Hugo Lloris

N’Golo Kante-Leicester City
N'golo Kante national

Yohan Cabaye-Crystal Palace
Yohan Cabaye france

Dimitri Payet-West Ham United
Dimitri Payet france

Olivier Giroud-Arsenal
Olivier Giroud france

Anthony Martial-Manchester United
Anthony Martial national1

Morgan Schneiderlin-Manchester United
Morgan Schneiderlin france

Eliaquim Mangala-Manchester City
Eliaquim Mangala1

Bacary Sagna-Manchester City
Bacary Sagna

Laurent Koscielny-Arsenal
Laurent Koscielny france

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox