STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 30 Julai 2016

WATIZAME MORO KIDS WALIOONESHA UWEZO ZAIDI YA POLISI MOROGORO DHIDI YA SIMBA...




                               

Kikosi cha Simba chini ya Joseph Omog kimeendelea kujipima nguvu baada ya kuitwanga Moro Kids kwa mabao 2-0 katika mechi ya kirafiki iliyopigwa mjini Morogoro jana.

Mabao ya Simba yalifungwa na Ibrahim Ajib na Danny Lyanga na kuifanya Simba kuandika rekodi ya kushinda mechi mbili za kirafiki mfululizo.

Hii ni mechi ya pili baada ya ile ya kwanza dhidi ya Polisi Moro ambayo Simba ilishinda kwa mabao 6-0.

Katika mechi hiyo, Simba ingeweza kufunga mabao zaidi lakini ilipoteza nafasi kadhaa za kufunga.


Hata hivyo, Moro Kids nao walionyesha soka safi na kuwalazimisha mabeki wa Simba kulazimika kufanya kazi ya ziada, mara kadhaa.

      
          
                                      Kikosi cha Simba

Peter Manyika/ Vincent Angban
Besala Bukungu/Hamad Juma (dk 45)
Method Mwanjali
Noavty Lufunga/ Emmanuel Semwanza (dk 45)
Mohammed Hussein ‘Tshabalala’/ Abdi Banda (dk 68)
Jonas Mkude/ Said Ndemla (dk 71)
Shiza Kichuya/ Peter Mwalyanzi (dk 79)
Mzamilu Yasin
Diawuo Johnson/ Musa Ndusha (dk 45)/ Awadh Juma (dk 85)
Ibrahim Ajib/ Danny Lyanga (dk 58)
Jamal Mnyate/ Mohammed Ibrahim (dk 45)

                            Kikosi cha Moro Kids
 Abuu Mshery
Said Hassan
Kulwa Omary
Jamal Masenga
Mohammed Katoto
Ombeni Francis
Omary Abdallah
Offein Francis
Sumar Ismail
Majuto Hamisi
Diego

Sub
Mussa Kibwana
Masumbuko Juma
Gira Mng’ong’o
Richard Mvumba
John Chogelo
Moze Kachonga
Baraka Malila
Agrey Deo
Jojo Mkele
Salmini

 
                   PICHA MBALIMBALI KATIKA MCHEZO; 
 



























 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox