STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 30 Juni 2014

LADY JAY DEE AWEKA HISTORIA HUKO KENYA JANA JIONEE HAPA




Zilikuwa ni shangwe zakupitiliza pale mkali kutoka tzee Jaydee ilipofika zamu yake ya kupanda jukwaani, unaambiwa vile amepanda tu,
uwanja mzima uliokuwa umefurika mashabiki, ulikuwa umeanza kupiga kelele
zikisema yahayaa, ilikuwa ni kuanzia alipoanza kuimba nyimbo ya kwanza hadi ya
saba, lakini watu wapi, walikuwa wamekazia na kuendelea kupaza sauti wakililia
wimbo wa yahaya. Ni jambo ambalo hata lady Jaydee mwenyewe hakulitegemea.



Jaydee alifunguka nakusema “Tangu naanza kuimba wimbo wa
kwanza mpk wa 7 watu wana scream tu, Yahaya, Yahaya. Duuuh! Kenya vipi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox