Vijana
na watoto wakioga kandokando ya ziwa Tanganyika eneo la Kijiji cha
Karema Wilayani Mpanda Mkoani Katavi hali hiyo ni hatari kwa afya ya
watoto na akina mama hao ambao ndio wathirika zaidi na hali hii juhudi
zaidi zinahitajika kuwaokoa na hali hiyo kuhakikisha jamii hii ya
mambao
na wao wanapata maji safi ya bomba kwa matumizi ya kunywa kuoga na
kupikia.
Na Kibada Kibada Katavi
Maisha ya wakazi wa mwambao wa ziwa Tanganyika yanaendelea kama wanavyoonekana wakazi hao wakijishughulisha na shughuliza za kutafuata maisha ya yao ya kila siku bila kujali athari wanayoweza kuipata hasa kupata mlipuko wa magonjwa yanayoweza kusababishwa na matumizi ya maji machafu kama maji ya ziwani kwa kutumia maji hayo kwa kunywa kuoga na shughuli nyingine za kimaisha.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni