STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 10 Julai 2014

NYOTA MAN UNITED ATISHIWA KIFO KWA KUSALITI TAIFA LA WAZAZI

Vitisho: Nyota wa Manchester United ametishiwa kifo kwa kuchagua kuchezea Ubelgiji

KINDA wa Manchester United, Adnan Januzaj amepokea vitisho vya kuuawa kwa sababu ya kuamua kuichezea Ubelgiji, taarifa zimesema nchini Serbia.
Mchezaji huyo wa umri wa miaka 19 alikuwa anaweza kuchezea Serbia, Uturuki, Albania, Kosovo na hata England baadaye, lakini akaamua kuchezea nchi aliyozaliwa Aprili mwaka huu, akiichezea mechi ya kwanza rasmi dhidi ya Tunisia kiasi cha wiki moja kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia nchini Brazil.
Taarifa za kituo cha Redio ya Serbia, S Media na gazeti la Ubelgiji la Het Nieuwsblad, zimesema kwamba Januzaj ametishiwa lifo na aria wa Kosovan-Albania wenye hasira kwa uamuzi wake wa kuwakana
 
Indaiwa walimkanya kutoikana Kosovo, ambako familia yake iliishi kabla ya kuhamia Ubelgiji mwaka 1992.
Januzaj alicheza kwa saa moja tu Kombe la Dunia nchini Brazil, akianza katika mchezo wa mwisho wa Ubelgiji dhidi ya Korea Kusini, kabla ya timu hiyo kutolewa na Argentina katika Robo Fainali.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox