STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 9 Julai 2014

SCOLARI AOMBA RADHI WABRAZIL, LAKINI AGOMA KUJIUZULU


Siku mbaya: Luiz Felipe Scolari ameshuhudia timu yake ikilambwa mabao 7-1 na Ujerumani jana
Devastation: Stand-in Brazil captain David Luiz was in tears after the final whistle
Huzuni: Nahodha wa Brazil, David Luiz alimwaga sana machozi jana baada ya mechi

KOCHA Luiz Felipe Scolari amewaomba radhi watu wa Brazil baada ya kufungwa mabao 7-1 katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani- na amesistiza hatajiuzulu.
Brazil ilikuwa nyuma kwa mabao 5-0 hadi mapumziko baada ya mabao ya Thomas Muller, Miroslav Klose, Toni Kroos (mawili) na Sami Khedira.
Na Schurrle akafunga mabao mawili zaidi kipindi cha pili huku Oscar akiifungia bao la kufutia machozi Brazil. Hiki ni kipigo cha kwanza kwa Brazil katika mechi 63 za mashindano katika ardhi ya nyumbani tangu walipofungwa na Peru kwenye Copa America mwaka 1975
 
Scolari, ambaye amesistiza hatajiuzulu baada ya kiopigo hicho, amesema; "Ujumbe wangu kwa watu wa Brazil na mashabiki, ni kwamba tulijaribu na kufanya tulichoweza.
"Tafadhali tusameheni kwa makos a haya. Naomba msamaha hatukufika fainali, hili ni pigo. Ni wakati mgumu zaidi katika maisha yangu ya kazi. Hii ni siku mbaya zaidi katika maisha yangu, lakini maisha yanaendelea,"amesema.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox