STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 19 Agosti 2014

ASERNE WENGER AWATAKA VIJANA WAKE KUKAZA BUTI MECHI YA UEFA LEO


Optimistic: Arsene Wenger wants his side to put on a better display than they did against Palace
Arsene Wenger anahitaji kuona vijana wake wanacheza kwa kiwango cha juu zaidi tofauti na mechi ya Palace.

KWA aliyeangalia kwa umakini mazoezi ya Asernal chini ya kocha Aserne Wenger kwa siku mbili wamekuwa wakijifua barabara ili kuepuka kusubiri dakika za lala salama kupata ushindi.
Jumamosi iliyopita Aaron Ramsey aliiokoa Asernal sekunde za mwishoni katika mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu England na kushinda mabao 2-1 dhidi ya Crystal Palace katika uwanja wa Emirates.
Jana jumatatu, Aserne Wenger aliwasili mjini Istanbull nchini Uturuki kwa ajili ya mechi ya mtoana ya ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya  Besiktas leo jumanne. 
Team talk: Wenger speaks with his players ahead of their Champions league clash against Besiktas
Wenger akizungumza na wachezaji wake kuelekea mechi ya ligi ya mabingwa dhidi ya Besiktas

Wenger hakufurahishwa na kiwango cha timu yake dhidi ya Palace, ambapo ilimchukua dakika nyingi kupata bao la ushindi na kusubiri sekunde chache kabla ya mpira kumalizika ambapo Ramsey aliandika goli la ushindi.
Kuelekea mechi ya leo usiku, Wenger anahitaji kuona timu inacheza kwa kiwango cha juu na kupata mabao ya mapema.
"Hatuna furaha kabisa kwa kiwango chetu cha mechi iliyopita jumamosi na tunatakiwa kujiboresha," alisema. "Ni kipimo kikubwa kwetu. Tuna maandalizi ya muda mfupi na tunajua kwa wiki moja tuna mechi tatu ngumu dhidi ya Besiktas nyumbani na ugenini na katikati tuna mechi na Everton. Tunatakiwa kukaza buti"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox