STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 19 Agosti 2014

MGOGORO OLD TRAFFORD: MASHABIKI KUKINUKISHA KAMA GLAZER HATOI MKWANJA WA KUSAJILI WACHEZAJI WA DUNIA

  Manchester United walipoteza kwa mabao 2-1 mechi ya ufunguzi, ligi kuu nchini England dhidi ya Swansea katika uwanja wa Old Trafford.

MANCHESTER United ipo hatarini kuingia katika mgogoro tena baada ya mashabiki waliokosa uvumilivu kupanga kufanya maandamamo makubwa wakipinga kitendo cha wamiliki wa klabu hiyo, Familia ya Glazer kushindwa kuwekeza katika kikosi.
Mashabiki hao wanashinikiza wamiliki kuondoka Old Trafford kama watashindwa kusajili nyota wapya.
Zikisalia siku 10 dirisha la kiangazi la usajili kufungwa, Lous Van Gaal bado ana kikosi dhaifu na anahitaji kusajili ili kuingia katika ushindani wa ligi kuu.
Makama mwenyekiti wa klabu hiyo Ed Woodward bado ana matumaini ya kukamilisha usajili wa beki wa kati wa Sporting Lisbon, Marcos Rojo, wakati huo huo akiamnini kuwa wataweza kumshawishi Angel di Maria kutua Old Trafford kutokea klabu yake ya sasa ya Real Madrid.
Pia wanamhitaji beki wa Ajax ya Uholanzi, Daley Blind
Unhappy fans: Sections of the Old Trafford faithful could protest against the Glazer family against QPR
Mashabiki hawana furaha: Sehemu ya mashabiki wa Man United wanaoweza kuandamana dhidi ya familia ya  Glazer kwenye mechi na QPR
Protest: Manchester United fans remain far from happy with the club's owners the Glazer family
Mashabiki wa Manchester United hawana furaha na wamiliki wa klabu hiyo, familia ya Glazer 
Displeased: Louis van Gaal knows he needs to add to his squad before the transfer window slams shut
Hali ngumu: Louis van Gaal anajua kuwa anahitaji kuongeza wachezaji kabla ya dirisha la usajili kufungwa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox