STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 18 Agosti 2014

DEMBA BA AMSHUKIA MOURINHO KUMBANIA NAFASI CHELSEA KISA HAKUWA NYOTA

Moved on: Former Chelsea striker Demba Ba claims Jose Mourinho didn't pick him as he wasn't a star name
Mshambuliaji wa zamani wa  Chelsea, Demba Ba amedai Jose Mourinho alimbania nafasi kwasababu hakuwa nyota.

MSENEGAL, Demba Ba aliwaacha marafiki zake wengi katika klabu ya Chelsea baada ya kujiunga na Besiktas majira haya ya kiangazi, lakini amemlaumu Jose Mourinho kuwa hakumpa nafasi ya kutosha ndani ya dimba la Stamford Bridge.
Ba ambaye ni tishio kwa Asernal katika mchezo wa kwanza wa mtoano wa ligi ya mabingwa barani Ulaya mjini Istanbul siku ya kesho jumanne, alifunga mabao 14 katika mechi 23 alizoanza Chelsea msimu uliopita.
Lakini alipangwa katika kikosi cha kwanza na Mourinho pale tu ambapo Fernando Torres na Samuel Eto'o hawakuwepo.
On target: Demba Ba scored 14 goals in 23 starts for Chelsea having signed from Newcastle in January 2013
Demba Ba alifunga mabao 14  katika mechi 23 alizoanza Chelsea akisajiliwa kutoka Newcastle mwezi januari mwaka 2013.

"Wakati fulani unapokuwa klabuni na wachezaji wengi nyota, majina yanaangaliwa zaidi kuliko takwimu. Kwa bahati mbaya ilikuwa hivyo kwa upande wangu," alisema mshambuliaji huyo wa Senegal. "Lakini nina furaha niliondoka Newcastle kwenda Chelsea na kufanikiwa kwa kile nilichofanya. Nilikuwa na marafiki wengi pale. Eden Hazard ni miongoni mwa marafiki zangu wakubwa, nilikuwa karibu sana na Branislav Ivanovic. Nawatakiwa kila la kheri ili washinde ubingwa wa ligi kuu".
Chelsea wanaanza kampeni za kusaka ubingwa leo jumatatu dhidi ya Burnley, lakini Ba malengo yake yatakuwa katika mechi itakayochezwa saa 24 zijazo ambapo mashabiki 76,00 watafurika kwenye uwanja wa Istanbul’s Ataturk Olympic ambapo timu yake itachuana na Asernal.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox