STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 4 Agosti 2014

DROGBA ARUDI NA MGUU MBAYA CHELSEA, ASHINDWA KUNG'ARA WAKIPIGWA 3-0 UJERUMANI

Amerudi na mguu mbaya: Didier Drogba ameichezea tena kwa mara ya kwanza The Blues leo tangu arejee na imefungwa 3-0] 

MKONGWE Didier Drogba ameshindwa kung'ara akiichezea Chelsea kwa mara ya kwanza tangu arejee msimu baada ya kuchapwa mabao 3-0 Werder Bremen nchini Ujerumani katika mchezo wa kujiandaa na msimu.
Mshambuliaji huyo wa Ivory Coast, aliichezea kwa mara ya mwisho Chelsea mwaka 2012 katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, ikishinda kwa penalti dhidi ya Bayern Munich, lakini jana akirejea Ujerumani yeye na washambuliaji wengine wa The Blues- walilala kwa mabao ya Ludovic Obraniak kwa kichwa na penalti za Assani Lukimya na Felix Kroos.
 
Beaten: Chelsea goalkeeper Thibaut Courtois conceded two goals in Germany
Kipa wa Chelsea, Thibaut Courtois amefungwa mabao mawili jana, wakati bao lingine alifungwa Petr Cech kipindi cha pili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox