STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 4 Agosti 2014

ZITTO KABWE ASHANGAZWA NA VILIO VYA WACHEZAJI WA TAIFA STARS BAADA YA KUTOLEWA NA MSUMBIJI




Mheshimiwa Zitto Kabwe - amesema"#TaifaStars imecheza mechi nyingi ambazo nimehudhuria, ndani na nje ya nchi. Sijaona wachezaji wakitokwa machozi kama Jana. Ndani ya chumba cha kubadilisha nguo niliona uchungu na machozi ya vijana wetu. Kwa pamoja walikuwa wanasema 'nyumbani kama ugenini, ugenini ugenini'. Somo kubwa sana hilo."

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox