STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 6 Agosti 2014

HOWARD WEB ATUNGIKA KIPYENGA, SASA BOSI WA MAREFA

REFA maarufu England, Howard Webb amestaafu kupuliza kipyenga baada ya miaka 25-na sasa atakuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa taasisi ya marefa (PGMOL).
Refa huyo mwenye heshima kubwa amechezesha mechi zaidi ya 500 za Ligi Kuu ya England na nyingine za mashindano ya soika nchini humo tangu apande daraja mwaka 2003.
Webb pia amechezesha fainali mbili za Kombe la Dunia na mbili za Kombe la Mataifa ya Ulaya, kabla ya kuweka rekodi ya kuwa refa wa kwanza kucheza fainali Euro na Kombe la Dunia kwa mwaka mmoja, 2010.

Ametungika kipyenga: Howard Webb amehitimisha maisha yake ya urefa 
Top level: Webb, seen here with Manchester United striker Wayne Rooney, has taken charge of more than 500 matches in the Premier League and Football League since becoming a Select Group official in 2003
kashfa moja kubwa ya Webb enzi zake ilikuwa ni kuibeba Manchester United, hapa anazungumza na mshambuliaji wa timu hiyo, Wayne Rooney katika moja ya mechi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox