STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 6 Agosti 2014

LIVERPOOL YASAJILI SHAVU LA KULIA ATLETICO MADRID


 
Mpiganaji mpya: Liverpool imetangaza kumsajili beki wa kulia wa Atletico Madrid, Javier Manquillo kwa mkopo
KLABU ya Liverpool imetangaza kumsajili beki wa kulia wa Atletico Madrid, Javier Manquillo kwa mkopo.
Beki huyo wa kulia atakwenda kugombea namba na Glen Johnson katika jitihada za kocha Brendan Rodgers kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu mpya.
Manquillo, ambaye ana umri wa miaka 20 tu, alitemwa na Real Madrid akiwa na umri wa miaka 14 tu, lakini tangu hapo amezichezea timu zote za taifa za vijana za Hispania kuanzia chini ya umri wa miaka 16 hadi miaka 20.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox