STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 16 Agosti 2014

JOSE MOURINHO 'MZEE WA MIPASHO' AWASALIMIA WENGER NA PELLEGRINI LIGI KUU ENGLAND IKIANZA LEO

On the attack: Chelsea boss Jose Mourinho took a thinly veiled swipe at two of his biggest title rivals
Mashambulizi: Bosi wa Chelsea, Jose Mourinho imezipasha timu mbili pinzani katika mbio za kuwania ubingwa .

JOSE Mourinho kama kawaida amezipasha Asernal na Manchester City, moja ya timu pinzani katika mbio zake za kuwania ubingwa msimu mpya unaonza leo.
Kocha huyo wa Chelsea alishindwa kutwaa kombe lolote katika msimu wake wa kwanza baada ya kurudi mwaka jana, wakati Aserne Wenger alimaliza ukame wa miaka tisa bila kikombe baada ya kushinda kombe la FA.
Alipoulizwa kama anajisikia presha yoyote juu ya kufanikiwa kutwaa ubingwa, Mourinho alisema: "Kwanini? baadhi ya makocha imewachukua miaka 10 kushinda kombe."
Manuel Pellegrini alishinda taji la ligi na kombe la ligi msimu uliopita akiwa na kikosi cha kurithi kutoka kwa Roberto Mancini.
Chini ya Muitaliano huyo Man City walishinda taji la ligi kuu, kombe la FA na Ngao ya Hisani.
Mourinho aliongeza: "Sipendi kuona klabu inaendelea chini ya kocha mwingine kabla yangu, sitaki kufika wakati ambao navuna matunda kwenye miti yao. Napenda kufanya kazi. Napenda kujenga. Sipendi kazi nyepesi."
Content: Mourinho doesn't feel under pressure despite failing to win a trophy last season
 Mourinho hataki kujipa presha licha ya kushindwa kutwaa taji msimu uliopita 
Upbeat: After talking down their chances last season, Mourinho admits Chelsea are now title contenders
Msimu uliopita, Mourinho alimuita Aserne Wenger 'Bingwa wa kushindwa' na alimchana Pellegrini kuwa alitumia fedha nyingi zaidi.
Mreno huyo anajiona kuwa yupo katika mchakato wa kujenga kikosi chake Stamford Bridge na sio kutumia kile alichoachiwa na Rafael Benitez.
Majira haya ya kiangazi amemleta Diego Costa kwa paundi milioni 32 na kutumia paundi milioni 16 kumsajili Filep Luis, wote kutoka Atletico Madrid.
Pia alimsajili Cesc Fabregas kutoka Barcelona kwa paundi milioni 30 na kumuongeza Didier Drogba aliyekuwa mchezaji huru.
Highlight: Arsenal boss Arsene Wenger ended nine-year wait for trophy by winning FA Cup in May
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger alimaliza ukame wa kutoshinda taji kwa miaka 9 baada ya kutwaa FA mwezi mei mwaka huu.

"Huu ni mwaka pili katika mpango wangu na nina furaha na hilo,' alisema Mourinho. 'Mwishoni mwa msimu ninyi, mashabiki na wachezaji wataipima kazi yangu. Na muhimu zaidi na bosi wangu, mmiliki na Bodi itapima kazi yangu'.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox